Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA - Kundi la watu wenye kuwahami na kuwasapoti Wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina walitangaza Mshikamano wao kwa watu wa Gaza kupitia kufanya maandamano makubwa na kutaka kusitishwa mara moja vita dhidi ya wananchi wa Palestina na kulaani jinai hizo za Wazayuni.
24 Septemba 2024 - 18:59
News ID: 1488243